Main Title

source : Abna
Jumatano

8 Januari 2025

15:58:18
1521284

Video | Picha za kusikitisha za ukusanyaji wa mabaki ya chakula kutoka ardhini ili kupambania kubakia hai huko Gaza

Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Kimataifa la Ahl al-Bayt (a.s) - ABNA - Utawala wa Kizayuni, ili kufikia lengo lake kuu, ambalo ni mauaji ya halaiki ya Wapalestina huko Ghaza, umeweka kizuizi cha mzingiro mkali dhidi ya Ghaza na kuzuia misaada ya Kibinadamu kuingia humo. Kamati ya Mapitio ya Njaa inasema asilimia 91% ya Wapalestina Milioni 2 huko Ghaza sasa wako katika hatari kubwa ya baa la njaa.