Main Title

source : Abna
Jumanne

14 Januari 2025

17:11:30
1522853

Habari Pichani | Sherehe za Mashia wa Uswidi kwa Mnasaba wa kuzaliwa kwa Hadhrat Amirul_Muminina (a.s)

Kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (a.s) - ABNA - Sherehe ya kuzaliwa Hadhrat Amir al-Mu'minina Maula al-Muwahiddina Ali (a.s) ilifanyika kwa kuhudhuriwa na kundi Wafuasi na Wapenzi wa Ahlul - Bayt (a.s) katika Husseiniyyah ya Hazrat Sayyid al-Shohada (a.s) katika mji wa Gothenburg nchini Sweden.