Main Title

source : abna.ir
Alhamisi

15 Januari 2015

19:32:02
665086

Picha za makomando wa Hizbollah wakiendelea kudumisha ulinzi pamoja na barafu kushadidi

Hizi ni picha za makomando wa Hizbollah wakiwa katika kudumisha ulinzi katika maeneo matukufu ya Haram ya Hazarat Zainab na Hazarat Ruqayyah na maeneo mengine matukufu ya Mashia huko Syria, makomando hawa pamoja na kushadidi barafu na baridi kali lakini hawafumbii macho suala la ulinzi na kukabiliana na magaidi wa Daesh.