Main Title

source : abna.ir
Jumamosi

14 Machi 2015

15:45:47
676782

Picha za askari wa Israel wakiwapiga wapalestina

Askari wa Israel wamevamia kitongoji cha Hadhwarat Swaleh na kuwapiga wapalestina waliokuwa wakiandamana kupinga kitendo cha Israel kuvunja nyumba za wapalestina na kujenga nyumba mpya kwa ajili ya Mayahudi.