Main Title

source : abna.ir
Ijumaa

20 Machi 2015

11:39:05
677981

Picha za watoto wa kipalestina wakicheza na wana Simba

Huu ni mchezo hatari unaofanywa na watoto wa kipalestina wa naoishi ukanda wa Gaza, watoto hawa wanaishi katika kambi za wakimbizi baada ya nyumba zao kubombolewa na serikali ya Israel, wana Simba hawa wanamilikiwa na Jamal ambaye amewanunua wana Simba hawa kutoka mbuga ya wanyama.