Main Title

source : abna.ir
Jumamosi

21 Machi 2015

10:11:27
678160

Picha za wanajeshi wa kike wa Syria wakiwa mstari wa mbele

Hizi ni picha zikionyesha wanajeshi wa kike wa Syria wakiwa mstari wa mbele kupambana na magaidi wa Daesh na Al nasra ambao wamevamia ardhi za Syria na kufanya mauaji tangu mwaka 2011.