Main Title

source : abna.ir
Jumamosi

21 Machi 2015

20:04:33
678265

Picha wakatu kiongozi Muadhamu wa mapinduzi ya Iran akitoa hutuba ya mwaka mpya wa kiiran

Leo ni mwaka mpya wa kiiran NowRuz ambapo leo ni tarehe moja mwezi wa kwanza mwaka 1394, mwaka huu unaendana na ule mwaka wa kiislamu tofauti yake ni kwamba mwaka wa kiislamu unafuata mwezi na mwaka huu unafuata jua.