Main Title

source : abna.ir
Jumatano

25 Machi 2015

11:05:39
678868

Picha za shughuli za utafutaji wa miili ya wahanga wa ajali ya ndege ya Ujerumani

Wafanyakazi wa shughuli za uokozi wa Ufaransa wanaendelea kuitafuta miili ya watu 150 wakiwemo watoto wa shule 16 walipoteza maisha katika ajali ya ndege ya Shirika la Ujerumani iliyotokea katika eneo la milima ya Alps.