Main Title

source : abna.ir
Jumatano

25 Machi 2015

11:09:41
678869

Picha za mabaki ya ndege ya Ujerumani iliyoanguka Ufaransa

Polisi na waokozi wa Ufaransa wanaendelea kuitafuta miili ya watu walipoteza maisha katika ajali ya ndege ya Shirika la Ujerumani iliyotokea katika eneo la milima ya Alps Ufaransa.