Main Title

source : abna.ir
Ijumaa

27 Machi 2015

11:35:25
679342

Picha za wanajeshi wa kike wa Syria wakiwa mstari wa mbele wakipambana na Magaidi

Hizi ni Picha za wanajeshi wa kike wa Syria wakiwa mstari wa mbele wakipambana na Magaidi ambao wamevamia Syria kutoka mataifa mbali mbali kwa lengo la kuiangusha serikali halali ya Syria.