Main Title

source : abna.ir
Jumatano

8 Aprili 2015

14:01:39
682023

Picha za jeshi la Iraq likiendelea kuwaangamiza magaidi wa Daesh katika mji wa Salahuddin

Jeshi la Iraq limendelea kuwaangamiza magaidi wa Daesh katika mji wa Salahuddin, baada ya magaidi hao kuuacha mji wa Tikrit ambapo wengi wao waliangamizwa na wengine kujeruhiwa.