Main Title

source : abna.ir
Jumatano

15 Aprili 2015

20:36:20
684050

Picha za magaidi wa kike Syria

Hizi ni picha za wafuasi wa kike wa kundi la kigaidi la Daesh, Syria. Wanawake hawa, wanatumikishwa kingono na magaidi hao wakiislamu wa dhehebu la Sunni Wahabia na wanaambiwa wataingia peponi kwani kazi wanazofanya ni jihadi pia. Uchafu na ukatili wote huu unafanyika chini ya kivuli ya jihadi na dini tukufu ya Uislamu.