Main Title

source : abna.ir
Jumatano

15 Aprili 2015

20:57:48
684052

Picha za Mauaji na uharibifu unaofanywa na Majeshi ya Saudia arabia nchini Yemen

Hizi ni picha za mauaji na jinai zinazofanywa na majeshi ya Saudia arabia na wafuasi wake nchini Yemen, kwa lengo la kuwa lazimisha wananchi wa Yemen wamkubali rais Hadi ambaye wananchi hao hawamtaki