Main Title

source : abna.ir
Jumapili

19 Aprili 2015

19:34:14
684981

Picha za kundi la kigaidi la Daesh likichinja wakristo wa Ethiopia (Usitazame kama uko chini ya miaka 18)

Kundi la kigaidi la Daesh la linalodai kuwa ni kundi la waislamu wa dhehebu la Sunni, Wahabia maarufu kama Salafia au waislamu wa itikali kali linaendelea kufanya mauji na kuyanasibisha na dini tukufu ya kiislamu.