Main Title

source : abna.ir
Jumapili

19 Aprili 2015

19:38:41
684983

Picha za wapiganaji wa kishia wa Iraq wakiwa wamepumzika baada ya vita na magaidi

Wanajeshi wa kikosi cha waislamu wa dhehebu la Shia wa Iraq ambao wanapata mafunzo na misada kutoka Iran, wakiwa wamepumzika na kulala chini, na wengine wakiendelea kupambana na magaidi wa Daesh