Main Title

source : abna.ir
Jumanne

5 Mei 2015

20:15:31
688485

Muqtada Sadr atoa onyo kali kwa Marekani + Picha

Sayyid Muqtada Sadri ametoa onyo kali kwa serikali ya Marekani kufuatia, mswada wa Marekani wenye lengo la kigawa Iraq kwa misingi ya makabila na madhehebu.

Sayyid Muqtada Sadri ametoa onyo kali kwa serikali ya Marekani kufuatia, mswada wa Marekani wenye lengo la kigawa Iraq kwa misingi ya makabila na madhehebu.

Muqtada Sadr ameionya Marekani kuingilia mambo ya ndani ya Iraq, na kuiambia kuwa iwapo itathubutu kupitisha mswada huo, basi Jeshi la lake litashambulia majeshi ya Marekani popote yakapo kuwa na atahakikisha kuwa anaharibu miradi na maslahi ya Marekani.

Majeshi ya Muqtada Sadr