Main Title

source : abna.ir
Jumamosi

9 Mei 2015

17:55:33
689144

Katuni ya mfalme wa Saudia arabia

Hii ni katuni ya mfalme wa Saudia arabia, anayedai kuwa ni muwakilishi wa Uislamu ili hali anashirikiana na maadui wa uislamu katika kuwashambulia na kuwa hujumu waislamu, na anadhamini vikundi vya kigaidi.