Main Title

source : abna.ir
Ijumaa

22 Mei 2015

10:23:32
691352

Picha za Jeshi la Saudia arabia likifanya mazoezi

Hizi ni picha za jeshi la Saudia arabia likifanya mazoezi ya kujiandaa kukabiliana na hatari ya mashambulizi ya kulipwa kisasi kutokana na uvamizi wake na mauaji ya halaiki iliyofanya dhidi ya wananchi wa Yemen.