Main Title

source : abna.ir
Jumatano

25 Novemba 2015

20:56:13
721598

Picha za amiri jeshi mkuu wa Iran akizungumza na wanajeshi wa kikosi cha Basij

Amiri jeshi mkuu wa majeshi ya Iran Sayyid Ali Khamenei alipokuwa kwenye kikao na Jeshi la Basij ambalo ni moja kati ya vikosi vya majeshi ya Iran lakini kikosi hiki kiko karibu zaidi na wananchi na kinashirikana na kuwasaidiana na wananchi katika nyanya mbali mbali za kimaenendeleo.