Main Title

source : abna.ir
Ijumaa

11 Desemba 2015

18:46:11
724269

Rais wa Iran aadhimisha kifo cha Mtume Muhammad kwa kutembelea wagonjwa + Picha

Rais wa Iran Dk Hassan Rohan ameadhimisha kumbukumbu ya kifo cha Mtume Muhammad s.a.w ambapo imesadifiana na kifo cha Hassan bin Ali mjukuu wa Mtume Huyo ambaye ni mwana wa Bi Fatma bint Muhammad. waislamu wa dhehebu la Shia wameitumia siku hii kuomboleza kifo cha mtume Muhamad s.a.w