Main Title

source : abna.ir
Jumatano

16 Desemba 2015

13:44:53
725252

Jeshi la Nigeria la vunja vunja nyumba ya kiongozi wa mashia

Jeshi la Nigeria baada ya kuuwa mamia ya waumini wa kiislamu wa dhehebu la shia limechukua jukumu la kuvunja kabisa nyumba ya Sheikh Zakzaki kiongozi mkuu wa Mashia wa Nigeria