Main Title

source : abna.ir
Jumatano

16 Desemba 2015

14:00:38
725256

wairan wakiandamana mbele ya ubalozi wa Nigeria kupinga mauaji yalifanywa na jeshi la Nigeria dhidi ya Mashia

Wairan wameandamana mbele ya ubalozi wa Nigeria kupinga mauaji ya kinyama yaliyofanywa na jeshi la Nigeria dhidi ya waislamu wa dhehebu la Shia, ambao hawana hatia ya Ugaidi wala si kitisho cha serikali bali wao ni miongoni mwa vikundi vinavyowindwa na kundi la Bokoharam. Jeshi la Nigeria badala ya kuwalinda waumini hawa, limechukua jukumu la kuwasaidia Bokoharam kuwaua waumini hawa madhulumu.