Main Title

source : abna.ir
Jumatano

16 Desemba 2015

14:15:09
725260

Wananchi wa Iran wakiandamana kwa harisa kupinga mauaji yalifanywa na jeshi la Nigeria dhidi ya waislamu wasio na hatia

Wairan wa mji wa Tehran wameandamana kupinga mauaji ya kinyama yaliyofanywa na jeshi la Nigeria dhidi ya waislamu wa dhehebu la Shia, ambao hawana hatia ya Ugaidi wala si kitisho cha serikali bali wao ni miongoni mwa vikundi vinavyowindwa na kundi la Bokoharam. Jeshi la Nigeria badala ya kuwalinda waumini hawa, limechukua jukumu la kuwasaidia Bokoharam kuwaua waumini hawa madhulumu. Jeshi la Nigeria limevamia makazi ya kiongozi wa Mashia na kuua mamia ya watu katika mji wa Kaduna