Main Title

source : abna.ir
Jumatano

16 Desemba 2015

14:22:34
725261

Waislamu wa Nigeria wafanya maandamano kupinga kukamatwa kiongozi wa Mashia

Jeshi la Nigeria limevamia makazi ya kiongozi wa Mashia na kuua mamia ya watu katika mji wa Kaduna, na kisha kumkamata kiongozi wa Mashia Sheikh Zakzaki. jeshi hilo mpaka sasa limeshindwa kutoa maelezo ya kutosha ya sababu ya kufanya mauaji hayo kwa watu wasio na silaha.