Main Title

source : abna.ir
Jumatano

16 Desemba 2015

18:46:48
725320

Picha za wanafunzi wa Chuo kikuu cha kimataifa cha Iran wakipinga mauji yaliyofanywa na jeshi la Nigeria dhidi ya waislamu wa dh

Hizi ni Picha za wanafunzi wa Chuo kikuu cha kimataifa cha Iran wakipinga mauji yaliyofanywa na jeshi la Nigeria dhidi ya waislamu wa dhehebu la Shia. ambapo jeshi hilo lilivamia nyumba ya kiongozi mkuu wa mashia wa Nigeria sheikh Zakizaki na kuwamwagia risasi kwa kila waliyemuona mbele yao.