Main Title

source : abna.ir
Jumamosi

19 Desemba 2015

15:56:47
725824

Picha za wananchi wa Thailand wakiandamana kupinga mauji ya jeshi la Nigeria dhidi ya waislamu wa dhehebu la Shia

Picha za wananchi wa Thailand wakipinga mauji yaliyofanywa na jeshi la Nigeria dhidi ya waislamu wa dhehebu la Shia. ambapo jeshi hilo lilivamia nyumba ya kiongozi mkuu wa mashia wa Nigeria sheikh Zakizaki na kuwamwagia risasi kwa kila waliyemuona mbele yao.