Main Title

source : abna.ir
Jumamosi

19 Desemba 2015

16:10:55
725827

Wananchi wa Kashmir waandamana kupinga mauaji ya Nigeria dhidi ya waislamu wa dhehebu la Shia

Picha za wananchi wa Kashimir wa Pakistan wakipinga mauji yaliyofanywa na jeshi la Nigeria dhidi ya waislamu wa dhehebu la Shia. ambapo jeshi hilo lilivamia nyumba ya kiongozi mkuu wa mashia wa Nigeria sheikh Zakizaki na kuwamwagia risasi kwa kila waliyemuona mbele yao.