Main Title

source : abna.ir
Alhamisi

31 Desemba 2015

13:07:00
727830

Serikali yaanza kuvunja nyumba zilizojengwa kinyume na sharia Dar es salaam + Picha

Shirika la habari la ABNA linaripoti kuwa: serikali ya Tanzania imeanza zeozi la kuvunja nyumba na mabada yaliyokinyume na sheria , zoezi hili linajulikana kama BOMOA BOMOA , zoezi hili limeanza katika Jiji la Dar es Salaam kwa watu wote waliojenga katika maeneo ya wazi.