Main Title

source : abna.ir
Jumatatu

4 Januari 2016

19:50:58
728812

Wananchi wa Canada wafanya Maandamano ya kupinga mauaji ya Saudia arabia

Wananchi wa Canada wamefanya maandamano kupinga mauaji ya kidhalimu yaliyofanywa na utawala wa Saudia arabia dhidi ya Sheikh Nimr mwanaharakati mtetezi wa haki za mashia wa Saudia arabia.