Main Title

source : abna.ir
Jumanne

5 Januari 2016

06:39:58
728849

Katuni ya Biashara ya Mafuta kati ya kundi la kigaidi la Daesh na Uturuki

Katuni hii inaashiria madhara yanayoikabili serikali ya Uturuki baada ya kufanya muamala na magaidi wa Daesh kwa kununua mafuta ambayo magaidi hao wanayaiba kutoka nchini Syria ambapo kwa sasa biashara hiyo imekabiliwa na hujuma nzito kutoka majeshi ya Urusi.