Main Title

source : abna.ir
Jumatano

13 Januari 2016

19:06:05
730386

Jeshi la Iran lakamata meli za Marekani zilivyovuka mipaka ya Iran

Kikosi cha jeshi la wanamaji wa Iran kimezitia nguvuni boti mbili za kijeshi za Marekani ambazo zilivuka na kuingia kwenye mipaka ya Iran.