Main Title

source : abna.ir
Ijumaa

15 Januari 2016

17:20:45
730631

Picha za Majeshi ya Syria yaokoa mji muhimu wa Salma

Majeshi ya Syria yakisaidiwa na wapiganaji wa Hizbullah chini ya Uongozi wa wataalamu wa vita kutoka Iran, yamefanikiwa kukomboa mji muhumu wa Salma, hii ni pigo kubwa kwa Marekani na Saudia arabia ambazo ndio wadhamini wakuu wa magaidi hao.