Main Title

source : abna.ir
Jumatano

9 Machi 2016

21:47:44
740039

Picha za kiongozi Muadhamu wa mapinduzi ya Iran akipanda mti

Kiongozi mkuu wa mapinduzi ya kiislamu ya Iran Ayatollah Khamenei ambaye pia ni kiongozi mkuu wa waislamu wa dhehebu la Shia Duniani, ameadhimisha siku ya mazingira kwa kupanda mti na kuhamamsisha raia wairan wajitahidi kupanda miti.