Main Title

source : abna.ir
Jumatano

9 Machi 2016

22:18:37
740042

Picha wananchi wa Yemen wakilipongeza kundi la Hizbullah kwa kutetea haki za wanyonge

Wananchi wa Yemen wamefanya kongamano la kulipongeza kundi la Hizullah kwa kushiriki kwake katika kutetea haki za wanyonge kwanzia Palestina, Syria na Yemen. Kundi la Hizbullah limewekwa kwenye Orodha ya magaidi na Umoja wa nchi za Kiarabu baada ya kundi hilo kukosoa Maujji yanayofanywa na nchi wanachama wa Umoja huo nchini Yemen, Mauaji hayo yakiongozwa na Saudia arabia na kuungwa mkono na Israel, Marekani, Ungereza na Ufaransa.