Main Title

source : abna.ir
Jumatano

6 Aprili 2016

18:24:20
745649

Marekani yaendelea kulisaidia silaha kundi la kigaidi la Daesh + Picha

Serikali ya Marekani imekuwa ikijigamba kwa kupeleka majeshi yake nchini Syria na Iraq kwa lengo la kupambana na magiadi wa Daesh wenye mafungamano na Saudia arabia lakini badala ya kupambana na magaidi hao, Majeshi ya Marekani yamekuwa yakiwapa misaada ya silaha magaidi hao ili waziangushe serikali za Syria na Iraq.

Shirika la habari la ABNA linaripoti kuwa: Serikali ya Marekani imekuwa ikijigamba kwa kupeleka majeshi yake nchini Syria na Iraq kwa lengo la kupambana na magiadi wa Daesh wenye mafungamano na Saudia arabia lakini badala ya kupambana na magaidi hao, Majeshi ya Marekani yamekuwa yakiwapa misaada ya silaha magaidi hao ili waziangushe serikali za Syria na Iraq.

Magaidi wa Daesh ni kikundi cha Magaidi kinacho jinasibisha na Uislamu wa dhehebu la Sunni wahabia, dhehebu ambalo ndio dhehebu rasmi la Saudia arabia.

Mwisho wa habari/ 291