Main Title

source : abna.ir
Jumatatu

18 Aprili 2016

15:13:53
748295

Mashia wa Nigeria waandaman kutaka kuachiwa huru Sheikh Zakizaki

Hizi ni picha zikionyesha waumini wa kiislamu wa dhehebu la Shia nchini Nigeria wakiandamana kutaka kuachiwa Sheikh Zakzaki ambaye alikamatwa baada ya jeshi la Nigeria kuvamia nyumbani kwake na kuua mamia ya watu wasio na hatia.