Main Title

source : abna.ir
Jumatatu

10 Oktoba 2016

22:25:54
784766

Picha viongozi wa Iran wakuomboleza kifo cha mjukuu wa mtume Muhammad s.a.w

Hivi ni picha viongozi mbalimbali wa serikali ya Jamhuri ya kiislam ya Iran wakijumuika na wananchi katika kuomboleza tukio la kifo cha Husein mjukuu wa mtume Muhammad s.a.w ambaye aliuawa kwa kuchinjwa na baadhi ya maswahaba waovu wa mtume Muhammad s.a.w mnamo mkwa 61 hijira sawa na mwaka wa 680,.