Main Title

source : abna.ir
Jumatano

12 Oktoba 2016

20:29:51
785088

Waislamu wa Uingereza wakiomboleza kifo cha mjukuu wa mtume Muhammad s.a.w

Hizi ni picha za waislamu wa dhehebu la shia wakiomboleza tukio la kifo cha Husein ambaye ni mjukuu wa mtume Muhammad s.a.w aliyeuawa na maswahaba waovu wa mtume huyo mnamo mwaka wa 61 hijria sawa na mwaka 680.