source : abna.ir
Alhamisi
13 Oktoba 2016
22:06:26
785346
Picha waislamu wa India wakiomboleza kifo cha mjukuu wa mtume Muhammad
Hizi ni picha za waislamu wa dhehebu la shia wakiomboleza tukio la kifo cha Husein ambaye ni mjukuu wa mtume Muhammad s.a.w aliyeuawa na maswahaba waovu wa mtume huyo mnamo mwaka wa 61 hijria sawa na mwaka 680.