Main Title

source : abna.ir
Jumamosi

17 Desemba 2016

14:48:16
798832

Picha wananchi wa Syria wakisherehekea kuzaliwa kwa mtume Muhammad

wananchi wa Syria pamoja na kuwa katika misukosuko ya vita vinavyoendelezwa na magaidi waodhaminiwa na Marekani na washirika wake, wananchi wa Syria hawakuacha kusherehekea Maulidi ya Mtume Muhammad s.a.w.