Main Title

source : ABNA
Jumapili

13 Mei 2018

08:53:19
893241

Watu 5 wafa na kujeruhiwa katika tukio la kigaid mjini Paris/ Daesh watangaza kuhusiaka na tukio hilo

Kikundi cha kigaidi cha Daesh kimetoa kimetuma ujumbe kupitia shirika la habari la Islamion ambao ni mtandao rasmi wa kikundi cha kigaidi cha Daesh, kuwa shambulio hilo limefanywa na kikundi cha kigaidi cha Daesh.

Shirika la habari AhlulBayt (a.s) ABNA: mtu mmoja aliokuwa na silaha baridi walikuwa wakiwap[iga visu kila mtu waliomuona barabarani za mjini Paris nchini Ufaransa na kusababisha kuuwawa kwa mtu mmoja na wengine wanne kujeruhiwa.
Mwakilishi wa umoja wa Polesi nchini Ufaransa ametangaza kuwa mshambuliaji baada ya kuwashambualia watu wanaotembea kwa miguu, akawageukia mapolisi na akawa akipiga kilele akiwaambia nataka kuwauwa.
Shambulio hilo limefanyika katika makao makuu ya mji mkuu wa Ufaransa katika mjumuiko wa mkubwa wa watu, sehemu ambayo huwa inapendwa kutembelewa na watalii.
mwisho/290