Main Title

source : ABNA
Ijumaa

14 Februari 2020

08:04:42
1010171

“...Jana usiku kwa amri yangu, Jeshi la Marekani liliweza kufanya shambulio makini sana bila ya kukosea, na kufanikiwa kumuua Gaidi namba moja wa ulimwengu, Qasem Suleimani...” haya yalikuwa ni maneno ya Rais Trump baada tu ya masaa machche kupita tangu kutokea kwa shambulio hilo.

Shirika la habari la Ahlubayt (as)ABNA:

Ni siku 40 sasa zimepita tangu kuuwawa kwa viongozi wakubwa wa kijeshi nchini Iraq na Iran, Jemedari Qasem Suleimani na Abu Mahdi Almuhandis kwa amri ya Rais wa Marekani Bw Donald Trump.

“...Jana usiku kwa amri yangu, Jeshi la Marekani liliweza kufanya shambulio makini sana bila ya kukosea, na kufanikiwa kumuua Gaidi namba moja wa ulimwengu, Qasem Suleimani...” haya yalikuwa ni maneno ya Rais Trump baada tu ya masaa machche kupita tangu kutokea kwa shambulio hilo.

Video hapo juu inaonyesha namna ambavyo mashujaa hawa wawili waliweza kuagwa katika miji mitukufu na mikubwa nchini Iraq na Iran, tena kwa kuhudhuriwa na mamilioni ya watu, kitendo ambacho bila shaka kitakuwa kimeacha historia katika ulimwengu.

Sasa ni zamu ya ulimwengu kwa kutumia fikra sahihi waweze kuhukumu, je, hivi nidvyo ambavyo magaidi huagwa?.