Main Title

source : ABNA
Jumapili

8 Oktoba 2023

17:38:26
1399069

Ayatullah Ramazani, Katibu Mkuu wa Baraza la Kimataifa la Ahl al-Bayt (AS) Apokea Mapokezi Mazuri kutoka kwa Wananchi wa Uganda.

Shirika la habari la Ahlul-Bait (a.s) - ABNA - liliripoti kwamba katibu mkuu wa baraza la dunia la Ahlul-Bait (a.s) alisafiri hadi Uganda kuhudhuria sherehe za kuzaliwa Mtume (SAW), alipata mapokezi makubwa kutoka kwa wananchi wa nchi hii.