source : Abna
Jumatano
23 Oktoba 2024
18:20:36
1497647
Video | Marasimu za ukumbusho wa Shahidi Syed Hassan Nasrullah nchini Thailand
Kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul_Bayt (a.s) - ABNA - Marasimu za ukumbusho wa Shahidi Syed Hassan Nasrullah, Katibu Mkuu wa Hezbollah nchini Lebanon, zimefanyika Bangkok, Mji Mkuu wa nchi ya Thailand, kwa kuhudhuriwa na kundi kubwa la wapenzi na wafuasi wa shule (Madrasa) ya Ahlul_Bayt (a.s) nchini Thailand.