source : abna.ir
Jumanne
8 Desemba 2015
21:01:02
723785
Picha za waislamu wa dhehebu la Shia wa Sierra Leone wakiadhimisha arobain ya Imam Husein
Hizi ni Picha za waislamu wa dhehebu la Shia wa Sierra Leone wakiadhimisha arobain ya mjukuu wa mtume Muhammad s.a.w Imam Husein ambaye aliuawa kikatili na majeshi ya Yazid bin Muawiyah mnamo mwaka 61 Hijiria sawa na mwaka 680, tukio hili lilitokea katika mji wa Karbalaa Iraq.