Sheikh Zakzaky: Matembezi ya Arubaini ya Imam Husain AS yataendelea Nigeria
Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria amesisitiza kuwa, matembezi ya Arubaini ya Imam Husain AS yataendelea kufanyika nchini Nigeria hadi atakapodhihiri Imam wa Zama, Imam Mahdi AS.