Main Title

source : abna.ir
Ijumaa

11 Desemba 2015

20:58:10
724304

Picha za Mashia wa Saudia arabia wakiomboleza Arobaini ya Imam Husein a.s

Pamoja na kubanwa na serikali yao Mashia wa Saudia arabia hawakuacha kuendeleza Imani yao juu ya Mtume Muhammad na kizazi chake kitukufu, Mamia ya waislamu wa dhehebu la Shia wa Saudia arabia wamejumuika na kuadhimisha kifo cha Husein mjukuu wa mtume Muhammad s.a.w katika miji mbalimbali ya Saudia arabia.