source : abna.ir
Ijumaa
11 Desemba 2015
20:10:20
724303
Picha za watoto wa kishia wa Saudia arabia wakiomboleza kifo cha Imam Husein a.s
Hizi ni picha za watoto wa kiislamu wa dhehebu la Shia wa Saudia arabia, wakishiriki sanjari na wazazi wao katika kuadhimisha kifo cha Imam Husein ambaye ni mjukuu wa mtume Muhammad s.a.w.