Main Title

source : abna.ir
Jumanne

8 Desemba 2015

21:15:05
723786

Picha za Maombolezo ya Arobaini ya Imam Husein nchini India

Hizi ni Picha za waislamu wa dhehebu la Shia wa India wakiadhimisha arobain ya mjukuu wa mtume Muhammad s.a.w Imam Husein ambaye aliuawa kikatili na majeshi ya Yazid bin Muawiyah mnamo mwaka 61 Hijiria sawa na mwaka 680, tukio hili lilitokea katika mji wa Karbalaa Iraq.