Main Title

source : abna.ir
Jumanne

8 Desemba 2015

21:29:52
723787

Picha za waislamu wa dhehebu la Shia wa Marekani wakigawa chakula kuadhimisha arobaini ya Imam Husein

Hizi ni Picha za waislamu wa dhehebu la Shia wa Colorado nchini Marekani wakigawa chakula kwa wananchi wakiadhimisha arobaini ya mjukuu wa mtume Muhammad s.a.w Imam Husein ambaye aliuawa kikatili na majeshi ya Yazid bin Muawiyah mnamo mwaka 61 Hijiria sawa na mwaka 680, tukio hili lilitokea katika mji wa Karbalaa Iraq.